Exclusive: Madee kuja na movie ya ‘Nani Kamwaga Pombe Yangu’
Mwanamuziki wa kundi la Tip Top Connection anayetamba na ngoma yake ‘Sio Mimi’, Madee amesema kwasasa anaendelea na project ya kuandaa movie yenye jina hilo ikiwa ni mwendelezo wa wimbo wake huo.
Katika movie hiyo Madee atakuwa mwigizaji mkuu na atamshirikisha mwigizaji na mchekeshaji
Zimwi pamoja na waigizaji wengine.
Akiongea na Bongo5, Madee alisema, “kuna comedian movies inakuja inaitwa “Nani Kamwaga
Pombe Yangu” ambayo itachezwa na mimi mwenyewe, kuna Zimwi watu ambao wana deal na hivi
vitu ndio nitajoin, baada ya miezi miwili au mitatu nitaongea zaidi na zaidi kitu gani kinaendelea
lakini hiyo movie ‘Nani Kamwaga Pombe Yangu’ inakuja na tumeshaanza kushoot, nadhani baada
ya wiki itakuuwa imeisha,ila baada ya miezi mitatu tutatoa taarifa kwenye vyombo vya habari.”

0 commentaires:
Maoni yako yanaweza tusaidia tunakuskia!