lundi 10 juin 2013

Matukio na baadhi ya washindi wa tuzo za Kill - 2013

GK

Barnaba akitumbuiza

Snura

Josee Mara

Afande sele kama kawa

Dancing

Dhabith Abdul

Mpoto na Ditto wakipokea tuzo

Producer Walter akipokea tuzo

Wema akimkabidhi tuzo Dimpoz

Dj Fetty in the building


Mzee Zoro akitoa show

Amin na Linnah

Alli Kiba in the building

Ben Pol na tuzo ya Mtunzi Bora wa Mashahiri Bongo Fleva

Gardner akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike
kwa niaba ya mkewe Lady Jaydee

Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena
Tuzo ya Video Bora ya Mwaka....Baadae!

Kala Jeremiah akipokea tuzo zake

Chalz Baba akiwa na Tuzo zake!

Mashujaa Band wakifurahia Tuzo ya Band Bora

MC wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 
Bw. Zembwela

ORODHA KAMILI WA WASHINDI WA TUZO HIZO
1. Msanii Bora wa Kiume ni Diamond!
2. Msanii Bora wa Kike ni Lady Jaydee.
3. Wimbo Bora RnB ni Rama Dee na Kuwa na Subira.
4. Wimbo Bora wa Mwaka Hip Hop ni Dear God wa Kala Jeremiah.
5. Wimbo Bora Afrika Mashiriki ni Jose Chameleone na Valu Valu
6. Wimbo Bora wa Mwaka Hip Hop ni Ney wa Mitego na wimbo wa Sema Nao.
7. Video Bora ya Mwaka ni Baadae ya Ommy Dimpoz.
8. Mtunzi Bora wa Mashairi Hip Hop ni Kala Jeremiah.
9. Msanii Bora wa Hip Hop ni Kala Jeremiah.
10. Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall-Dabo na wimbo wa Predator!
11. Rapa Bora wa Band ni Fagasoni.
12. Msanii Bora wa Kiume Band ni Chalz Baba.
13. Msanii Bora wa Kike Band ni Luiza Mbutu.
14. Mtayarishaji wa Wimbo Bora wa mwaka Band ni Amoroso.
15. Wimbo Bora wa Bendi ni Mashujaa Band na wimbo wa Risasi Kidole.
16. Msanii Bora Anayechipukia ni Ali Nipashe.
17. Wimbo Bora wa Bongo Pop ni Ommy Dimples na Vanessa Mdee Me and You
18. Msanii Bora wa Kike Bongo Fleva ni Recho

19. Msanii Bora wa Kiume Bongo Fleva ni Diamond.
20. Mtayarishaji Bora wa Mwaka Bongo Fleva ni Man Water.
21. Mtunzi Bora wa Mashahiri ya Bongo Fleva ni Ben Pol.
22. Wimbo Wenye Vionjo vya Asili ni Chocheeni Kuni wa Mrisho Mpoto.
23. Msanii Bora wa Kike Taarab ni Isha Mashauzi
24. Msanii Bora wa Kiume Taarab ni Mzee Yusuf.
25. Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka wa Taarab ni Enrico.
26. Mtunzi Bora wa Mashahiri ya Taarab ni Thabit Abdul


0 commentaires:

Maoni yako yanaweza tusaidia tunakuskia!