lundi 20 mai 2013

Profesa Jay na sakata la Lad Jaydee VS Ruge

WIKI hii kwenye Funguka na Risasi tunaye mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule, ‘Profesa Jay’ ambaye anafunguka juu ya bifu kati ya Judith Wambura ‘Jide’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti wa Clouds Media, Ruge Mutahaba. Profesa Jay naye ametajwa katika sakata hilo kutokana na kushirikishwa katika wimbo wa Joto Hasira ambao wengi wameutafsiri kuwa na vijembe kwa Ruge.

Funguka: Mambo vipi Profesa, nimekutafuta ili nipate msimamo wako kwenye bifu kati ya msanii mwenzako (Jide) na Ruge.

Diamond Platnumz atobowa kwanini kiwembe

KWA mara ya kwanza nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' ameacha gumzo London,
Uingereza baada ya kueleza sababu za kwa nini ni kiwembe?

Akifunguka katika mahojiano maalum wiki iliyopita na Kipindi cha Sporah Show cha runingani alipokuwa kwenye ziara ya kimuziki nchini humo, Diamond alizungumza ishu kibao za kimapenzi hasa juu ya msururu wa wanawake ambao tayari ametoka nao.
ASISITIZA ANASUBIRI MTOTO Kabla ya yote, staa huyo alisisitiza kuwa muda si mrefu anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mpenzi wake wa sasa, Peniel Mungilwa ‘Penny’ akimaanisha kuwa ni mjamzito, kinyume na msichana huyo ambaye hivi karibuni alimshangaa Diamond kueneza habari hizo.



KWA NINI ANAPENDA KUBADILISHA WANAWAKE?
Diamond: Mimi ni binadamu kama binadamu wengine wa kawaida. Nampenda mwanamke
anayenipenda na kuniheshimu. Ikitokea mikwaruzano huwa mimi nakaa pembeni, natafuta sehemu
nyingine. Wakati mwingine mimi ndiye huwa naachwa.
KWA NINI MSURURU NDANI YA KIPINDI CHA MIAKA MITATU?
Diamond: Nikiwa na mtu nikiachana naye naonekana nina matatizo kwa sababu wakati mwingine
nakuwa na wanawake wenye majina. Siwezi kukaa bila uhusiano na nakuwa wazi kwa sababu
lazima itajulikana tu na kuandikwa kwenye magazeti. Kuna kipindi nilikaa miezi sita bila kufanya
kitu chochote (mh!). Lakini nikianza (uhusiano), nikihama naonekana msumbufu.





KWA NINI MASTAA, TENA MARAFIKI?
Diamond: Huwa sitoki, nakuwa nyumbani tu, nakaa na mama yangu (Sanura Kassim ‘Sandra’)
nampikia. Nikitoka nakwenda kwenye shoo au studio. Huko ndiko nakutana nao (mastaa wa kike).
ALIMPATAJE JOKATE (MWEGELO)?
Diamond: Alikuwa anazindua nguo zake (Kidoti) akaniomba nikapite nazo kwenye onesho la
mavazi, nikapita nazo jukwaani. Baada ya hapo na mimi nilimuomba nifanye naye video ya wimbo
wangu (Mawazo), ndiyo ikatokea kama hivyo.
NINI KILIMVUTIA KWA PENNY?
Diamond: Kwanza mimi nilimjua Penny kabla ya Wema (Sepetu), alikuwa mshikaji wangu. Ni
mwanamke mzuri, wa kileo, ana akili adabu na heshima. Anampenda mama yangu na familia
yangu ‘coz’ na mimi nampenda mama yangu (sifa ambazo kwa mujibu wake Wema alizikosa).
KWA NINI ALIMREKODI WEMA?
Diamond: Kila binadamu anajiona yupo sawa na anaonewa. Sipendi kuongea, nitazungumza
vibaya. Mapenzi yanaumiza na mimi naumia pia lakini watu wanadhani mimi ndiye muumizaji.
Unamwambia mtu kwa nini una mwanaume mwingine.
Anakuzuga sijui ni pedeshee anampa pesa. Mara unamwona na mwanaume mwingine. Mimi siyo
maskini lakini sasa mara unamwona na brazameni mwingine ‘then’ washkaji wanakwambia. Wewe
unajifanya kuziba masikio mara unasikia ana mwanaume mwingine. Lakini ikafika wakati nikajikuta
naumia sana kwenye mapenzi.



Kama ukisikiliza ule wimbo wa Kesho ni kweli kabisa. Mimi nikakaa pembeni hadi nilipompata huyu
wa sasa (Penny).
Nakumbuka (Wema) alinipigia simu akadai mimi ndiye nasema anataka turudiane. Nilikuwa kwenye
gari, nikamuuliza anataka nini?
Wakati huo nilishafika nyumbani kwa baby wangu. Nikamwonesha ona sasa, anasema mimi ndiyo
nataka nirudiane naye, anatangazia watu hadi saluni kuwa nataka kurudiana naye na kujidai
kwenye vyombo vya habari kuwa ananipenda. Kumbe ana wengine (ving’asti) kama ishirini
anawahonga (mistari ya wimbo wake wa Nataka Kulewa).
Nilimpa baby wangu akamwambia kistaarabu tuache tulale. Sasa kuna mtu wetu wa karibu ndiye
aliyehusika kusambaza ile sauti.
SEMA UKWELI, ULILALA NA UWOYA?
Diamond: (kicheko) Ningeanzia wapi? Unajua mimi ni simba kwa hiyo nikionekana na swala
inajulikana lazima nimle hata kama tumeenda sehemu tu kuzungumza ishu za kazi.
KWA NINI WANAWAKE AU ENZI ZILE HAKUWA NA ‘CHANSI’ SASA AMEPATA?
Diamond: Ukimuelimisha mwanamke mmoja umeelimisha ulimwengu mzima. Nawapenda sana,
wanajaa tele kwenye shoo zangu. Kilichotokea kwa Wema ilibidi tu sikuwa na jinsi.
ANATAKA MWANAMKE WA AINA GANI?
Diamond: Ukimuuliza mwanamke aliyewahi kuwa na mimi atakwambia najua mapenzi, najua
kupetipeti, najua kubembeleza, najua kujifanya mjinga. Narudia tena, awe mzuri, wa kileo, mwenye
akili, anayejiheshimu, ampende mama yangu kama mimi ninavyompenda mama yangu.





KWA NINI KIWEMBE?
Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa ulibaini kuwa chanzo cha staa huyo aliyetokea Tandale, Dar
kuitwa kiwembe ni kutokana na tabia yake ya kubadilisha wanawake kama nguo.
Baadhi ya aliowahi kuripotiwa akidaiwa kutoka nao ni Rehema Fabian (Miss Kiswahili 2009),
Jacqueline Wolper (msanii wa filamu), Upendo Moshi ‘Pendo’ (Mshiriki wa Maisha Plus) na
Natasha (Video Queen wa Bongo Fleva). Wengine ni Wema (mwigizaji), Jokate (mwigizaji), Aunt
Ezekiel (mwigizaji), Najma (msanii wa Bongo Fleva), Penny (mtangazaji DTV), Irene Uwoya
(mwigizaji) na wengineo.









vendredi 17 mai 2013

Breaking: TID atoa sababu 3 za kwanini hatokuwepo kwenye show ya Lady Jaydee

Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii
mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.

Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu
ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Three reason why i can’t do lady JIDE SHOW .............No.1 I have better contract pays me better
than.No.2 I really don’t want to be between anybody’s conflict ya kwangu yananishinda naona
nieupushe shari...No.3 nataka kuoa muda wangu ndo huu ...............kama nimekukosea captein
na madame kazeni but I have been thru same shit.”
Tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiza kwenye show hiyo.

Video: Trailer ya movie mpya ya Chris Brown “Battle of the Year”


Chris Brown mwenye miaka 24, ametoa trailer ya movie yake mpya inayoitwa ‘Battle of the year.

Katika movie hiyo Chris amecheza akiwa kama member wa team ya kudance inayofanya
maandalizi kwaajili ya kushiriki katika mashindano ya dunia ya kubreak-dance. Kama wewe ni
shabiki wa zile hot dance moves za breezy katika video za ngoma zake, bila shaka utaenjoy zaidi
kuziona katika movie hii itakayokuwa na muonekano wa 3D.
Battle of the Year inategemea kuingia kwenye movie theaters September 18 mwaka huu.

jeudi 16 mai 2013

BET Awards 2013: Radio na Weasel kuchuana na Ice Prince, 2 Face na Donald kwenye Best International Act: Africa

Orodha ya wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za BET imetoka jana na kwa mara ya
kwanza Uganda imepata shavu kwenye tuzo hizo. Kundi la Goodlyfe linaloundwa na Radio and
Weasel limetajwa kuwania kwenye kipengele cha Best International Act: Africa.

Hata hivyo Radio na Weasel watakuwa na ushindani mkali kutoa kwa Ice Prince (Nigeria), 2Face
Idibia (Nigeria) Toya Delazy (South Africa), Donald (South Africa) na R2Bees (Ghana).
Radio na Weasel wanakuwa wasanii wa pili kutoka Afrika Mashariki kuwahi kutajwa kuwania tuzo
hizo baada ya mwaka jana kundi la Camp Mulla la Kenya nalo kutajwa.
Hii ni list nzima ya wasanii waliotajwa kuwania tuzo hizo.

Best Female R&B/Pop Artist

» Beyoncé
» Tamar Braxton
» Elle Varner

Best Male R&B/Pop Artist

» Chris Brown
» Bruno Mars
» Miguel
» Justin Timberlake
» Usher

Best Group

» Macklemore & Ryan Lewis
» Mary Mary
» Mindless Behavior
» Slaughterhouse
» The Throne (Kanye West and Jay-Z)

Best Collaboration

» 2 Chainz (featuring Drake) – “No Lie”
» A$AP Rocky (featuring Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar) – “F—in’ Problems”
» French Montana (featuring Rick Ross, Drake and Lil Wayne) – “Pop That”
» Kendrick Lamar (featuring Drake) – “Poetic Justice”
» Justin Timberlake (featuring Jay-Z) – “Suit & Tie”
» Kanye West (featuring Big Sean, Pusha T and 2 Chainz) – “Mercy”

Best Male Hip Hop Artist

» 2 Chainz
» A$AP Rocky
» Drake
» Future
» Kendrick Lamar

Best Female Hip Hop Artist

» Azealia Banks
» Eve
» Nicki Minaj
» Rasheeda
» Rye Rye
Drake – “HYFR (Hell Ya F***ing Right) (Explicit)”

Video of the Year

» 2 Chainz (featuring Drake) – “No Lie”
» A$AP Rocky (featuring Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar) – “F—in’ Problems”
» Drake – “Started From the Bottom”
» Drake (featuring Lil Wayne) – “HYFR”
» Kendrick Lamar (featuring Drake) – “Poetic Justice”
» Macklemore & Ryan Lewis (featuring Wanz) – “Thrift Shop”
» Miguel – “Adorn”
» Rihanna – “Diamonds”
» Justin Timberlake (featuring Jay-Z) – “Suit & Tie”
» Kanye West (featuring Big Sean, Pusha T and 2 Chainz) – “Mercy”

Video Director of the Year

» A$AP Rocky and Sam Lecca
» Benny Boom
» Director X
» Dre Films
» Hype Williams

Best New Artist

» Azealia Banks
» Joey Bada$$
» Kendrick Lamar
» Trinidad Jame$
» The Weeknd
» Lecrae
» Tamela Mann
» Mary Mary
» Marvin Sapp

Best Actress

» Angela Bassett
» Halle Berry
» Taraji P. Henson
» Gabrielle Union
» Kerry Washington

Best Actor

» Don Cheadle
» Common
» Jamie Foxx
» Samuel L. Jackson
» Denzel Washington

YoungStars Award

» Gabrielle Douglas
» Jacob Latimore
» Keke Palmer
» Jaden Smith
» Quvenzhané Wallis
Django Unchained

Best Movie

» “Beasts of the Southern Wild”
» “Django Unchained”
» “Something From Nothing: The Art of Rap”
» “Sparkle”
» “Think Like a Man”

Subway Sportswoman of the Year

» Gabrielle Douglas
» Brittney Griner
» Candace Parker
» Serena Williams
» Venus Williams

Subway Sportsman of the Year

» Victor Cruz
» Kevin Durant
» Robert Griffin III
» LeBron James
» Ray Lewis

Coca-Cola Viewers’ Choice Award

» A$AP Rocky (featuring Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar) – “F—in’ Problems”
» Drake – “Started From the Bottom”
» Kendrick Lamar – “Swimming Pools (Drank)”
» Miguel – “Adorn”
» Rihanna – “Diamonds”
» Justin Timberlake (featuring Jay-Z) – “Suit & Tie”

Centric Award

» Tamar Braxton – “Love and War”
» Fantasia – “Lose to Win”
» Miguel – “Adorn”
» Nas – “Daughters”
» Charlie Wilson – “My Love Is All I Have”

Best International Act: Africa

» Donald (South Africa)
» Ice Prince (Nigeria)
» R2Bees (Ghana)
» Radio and Weasel (Uganda)

Best International Act: UK

» Marsha Ambrosius
» Estelle
» Labrinth
» Rita Ora
» Emeli Sandé
» Wiley

Breaking: Radio na Weasel kuiwakilisha Uganda kwenye Big Brother Africa 2013

Fresh kutoka kwenye ukurasa rasmi wa Facebook wa wasanii wa Uganda waliotajwa kuwania tuzo

za BET 2013, Radio na Weasel ni kuwa watakuwa wawakilishi wa Uganda kwenye shindano la Big

Brother Africa 2013.

 “We are not AFRICA’S NUMBER SIX, we are not EAST AFRICA’S richest artists, we r not all dos
titles people proclaim, okay a few call us AFRICA’S DYNAMIC DUO...we are RADIO AND
WEASEL from Uganda and we are here to represent, BIG BROTHER AFRICA 2013 WE LIVE,”
wameandika.
Wasanii hao wanaounda kundi la Goodlyfe wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye shindano hilo.
Reality show hiyo kubwa zaidi barani Afrika, Big Brother Africa inakuja na msimu wa nane ikiwa
ikijulikana kama The Chase ambapo Jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 watakuwa wakichuana
kuwania kitita cha dola 300, 000.
Show hiyo itaanza rasmi Jumapili ya May 26. IK Osakioduwa anarejea tena kuhost ‘The Chase’.
Tunasubiri kwa hamu kumjua mwakilishi wa Tanzania.


Filamu aliyoigiza Mama Kanumba ‘Without Daddy’ kuingia sokoni wiki hii

Filamu ya Without Daddy itakayomuonesha mama yake Kanumba kama muigizaji mkuu, inaingia
sokoni wiki hii na huku mashabiki wa Kanumba wakitarajia kupata uthibitisho kuwa, kipaji cha
uigizaji alichokuwa nacho kipo pia kwenye damu ya mama yake.


Filamu hiyo itakayosambazwa na kampuni ya Steps Entertainment imekuja mwaka mmoja tangu
kifo cha Steven Kanumba.
Hiyo sio filamu ya kwanza iliyotoka kuelezea maisha baada ya kifo chake kwakuwa tayari zipo
filamu zingine ikiwemo ya Jacky Wolper, After Death.

Pata Habari toka kwa Hit maker wa Radio station Rema Fm na Dj Lalas












mercredi 15 mai 2013

DIAMOND PLATNUM FREE PERSON FROM UMASIKINI



SIRI imefichukua kuwa madai kwamba ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason a.k.a Wajenzi Huru zilianza kitambo lakini sasa zimeshika kasi baada ya kunaswa kwa picha inayomuonesha akisalimiana na mtasha kwa ishara ya Kifreemason, Ijumaa Wikienda linaibumburua. Kwa mujibu picha hiyo, tukio hilo lilijiri nchini Uingereza, mwaka jana, Diamond alipokwenda huko kwa ajili ya shoo. MAVAZI Ilidaiwa pia kuwa mavazi ya Diamond (meusi)

Picha: Hemedi na Mabeste waki-performing Club Billicans


Diamond avaa gandwa za kijeshi za Congo (military police) kwenye show ya nchini humo .


Diamond anafahamika kwa kujaribu idea tofauti za kukonga nyoyo za mashabiki wake kwenye stage. 
 

Akiwa kwenye ziara yake ya Burundi na Congo, Diamond alijaribu kufanya kitu tofauti zaidi kwa kutinga nguo za military polisi (MP) za jeshi la Congo. “Chef de l’armée... #CoNgo ,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo aliyoweka Instagram.

Fuatilia kila na mkasa alichosema Platnumz rahisi wa wasafi kutokea kuvaa za kijeshi za Congo (military police) kwenye show ya nchini humo .

Published by NadavCom Vision.




MWANA FA AVUNA MILIONI 18 NDANI YA MIEZI MITATU KWENYE RINGBACK TONE


Kwa mujibu wa Mwana FA mwenyewe ambaye leo ameachia wimbo wake mpya, Kama Zamani, hivi karibuni alipokea malipo ya miezi mitatu kutoka kampuni moja ya kuuza miito ya simu aka RBT yanayofikia shilingi za kitanzania milioni 18.

Akiongea leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, FA aliyekuwa wa tatu kati ya wasanii waliopata fedha nyingi zaidi kwenye malipo hayo chini ya Rose Mhando na Diamond, amesema ameamua kuweka wazi hilo ili watu waondoe imani kuwa muziki wa hip hop hauuzi.

Tarehe 31 mwezi huu, Mwana FA ambaye jina lake halisi ni Hamis Mwinjuma atakuwa na show yake aliyoipa jina, The Finest.
Editing by NadavCom Vision 

lundi 13 mai 2013

UK TOUR:HILI NDIO VAZI ALOVAA DIAMOND KWENYE SHOW MJINI READING

Hi ni picha ya super star Diamond aliwekaa jana kwenye
mtandao wake wa Instangram
akiwa amejitayarisha swadakta kabisa kwenda
kushambulia jukwaa.....pamoja na
dancers wake pichani awapo...!!

Dress code hiyo ya Kinyama ambayo imedizainiwa na vijana
machachari kutoka Bongo land
Twinsfashion Akufunguka kuwa gharama yake,
Lakini ni ya kinyama sana....!!

More Info About Diamond Platnumz;Follow Him On
Instangrama By DiamondPlatnumz,On Twitter By
@Diamondplatnumz,On Facebook By Diamond Platnumz
and u can also connect with Him
By His Fan Page Goes By Diamond Platnumz............
Zinazo fata ni pic za UK TOUR ya Diamond

Hii ni picha nyingine aliweka kwenye mtandao wake wa
Instangram akiwa ana baridhi
mazingira ya nje mjini READING
Akitafakari kabla ya Show Ya jana usiku........

''When am lukin to the Sun i see my Mum, Baby,Family
n True fan's Blessin me while my haters are Crying..

With My Kids......Mose Iyobo & Dumi utamu.......

     Napenda kumshukuru Mugu kwa siku ya jana na leo

Mazoezi tu ndo yanaleta vitu kama hizi....sio nin na
nini.....kujituma na kujipenda afya yako...!

 

NEW SONG/AY Feat Fid Q-Jipe Shavu


Exclusive: Barnaba amshirikisha Kidum kwenye wimbo uliodhaminiwa na Barclays Bank – ala shavu la mil 25

Hitmaker wa Sorry, Barnaba amerekodi wimbo na msanii nguli wa Burundi aishiye nchini Kenya, Kidum uliofanyika jijini Nairobi, Kenya chini ya producer Kelly.
Wimbo huo uitwao Wamama umerekodiwa kwa udhamini wa benki ya Barclays
ambayo ni miongoni mwa wadhamini wa kampeni ya Montage Charity Ball 2013’ iliyoanzishwa na Teddy Mapunda kwaajili ya kukusanya fedha kusaidia afya za wanawake. Barnaba ameiambia Bongo5 kuwa gharama ya kurekodi wimbo huo pamoja na malipo yao, usafiri na malazi ni zaidi ya shilingi milioni 25. Amesema moyo wake wa kujitolea katika masuala ya kijamii, ni sababu kubwa ya kuchaguliwa na kampuni ya Montage Limited kurekodi wimbo huo.
“Nimeamua kuimba kuhimiza watu kuchangia afya za akinamama kwasababu mama anapokuwa vizuri basi kizazi cha mama ama mtoto pia naye atakuwa vizuri,” amesema Barnaba.
“Unafahamu kabisa kwamba wamama wanakosa zahanati nyingi za kujifungulia, zahanati za kwenda kucheck clinic afya za watoto wao. Kwahiyo nikaamua kujitolea tu lakini mafanikio na vitu vilivyokuja au thamani ya kitu imekuja baada ya moyo wangu kujitolea na kukubali ndio Barclays wakaamua kusponsor safari yangu na kiasi cha fedha tulichopewa, kilikuwa na baada ya Barclays kuaminia kwamba Barnaba anaweza