jeudi 16 mai 2013

Filamu aliyoigiza Mama Kanumba ‘Without Daddy’ kuingia sokoni wiki hii

Filamu ya Without Daddy itakayomuonesha mama yake Kanumba kama muigizaji mkuu, inaingia
sokoni wiki hii na huku mashabiki wa Kanumba wakitarajia kupata uthibitisho kuwa, kipaji cha
uigizaji alichokuwa nacho kipo pia kwenye damu ya mama yake.


Filamu hiyo itakayosambazwa na kampuni ya Steps Entertainment imekuja mwaka mmoja tangu
kifo cha Steven Kanumba.
Hiyo sio filamu ya kwanza iliyotoka kuelezea maisha baada ya kifo chake kwakuwa tayari zipo
filamu zingine ikiwemo ya Jacky Wolper, After Death.

0 commentaires:

Maoni yako yanaweza tusaidia tunakuskia!