vendredi 17 mai 2013

Breaking: TID atoa sababu 3 za kwanini hatokuwepo kwenye show ya Lady Jaydee

Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii
mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.

Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu
ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Three reason why i can’t do lady JIDE SHOW .............No.1 I have better contract pays me better
than.No.2 I really don’t want to be between anybody’s conflict ya kwangu yananishinda naona
nieupushe shari...No.3 nataka kuoa muda wangu ndo huu ...............kama nimekukosea captein
na madame kazeni but I have been thru same shit.”
Tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiza kwenye show hiyo.

0 commentaires:

Maoni yako yanaweza tusaidia tunakuskia!