Video: Trailer ya movie mpya ya Chris Brown “Battle of the Year”
Chris Brown mwenye miaka 24, ametoa trailer ya movie yake mpya inayoitwa ‘Battle of the year.
maandalizi kwaajili ya kushiriki katika mashindano ya dunia ya kubreak-dance. Kama wewe ni
shabiki wa zile hot dance moves za breezy katika video za ngoma zake, bila shaka utaenjoy zaidi
kuziona katika movie hii itakayokuwa na muonekano wa 3D.
Battle of the Year inategemea kuingia kwenye movie theaters September 18 mwaka huu.
0 commentaires:
Maoni yako yanaweza tusaidia tunakuskia!