mercredi 15 mai 2013

Diamond avaa gandwa za kijeshi za Congo (military police) kwenye show ya nchini humo .


Diamond anafahamika kwa kujaribu idea tofauti za kukonga nyoyo za mashabiki wake kwenye stage. 
 

Akiwa kwenye ziara yake ya Burundi na Congo, Diamond alijaribu kufanya kitu tofauti zaidi kwa kutinga nguo za military polisi (MP) za jeshi la Congo. “Chef de l’armée... #CoNgo ,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo aliyoweka Instagram.

Fuatilia kila na mkasa alichosema Platnumz rahisi wa wasafi kutokea kuvaa za kijeshi za Congo (military police) kwenye show ya nchini humo .

Published by NadavCom Vision.




0 commentaires:

Maoni yako yanaweza tusaidia tunakuskia!