Hemedy leo kuizindua ‘Rest of My Life’ Billcanaz
Muigizaji wa filamu na muimbaji wa R&B, Hemed Suleiman aka PHD leo Jumapili anatarajia kuizindua rasmi single yake mpya ‘Rest of My Life’ pale Club Billcanaz jijini Dar es Salaam.
Hemedy atasindikizwa na wakali wengine wakiwemo Mr Blue, Mabeste, Gelly wa Rhymes na Cyril ambapo kiingilio ni shilingi 6,000 tu.
0 commentaires:
Maoni yako yanaweza tusaidia tunakuskia!