lundi 13 mai 2013

Picha ya mtu anayefanana na Jay-Z ‘copyright’ ya mwaka 1939 yawashangaza wengi

Jana wafanyakazi wa maktaba ya Schomburg Center ya New York Marekani
wamepata picha ya mtu ya mwaka 1939 anayefanana na Jay-Z kila kitu.


Picha hiyo imewafanya baadhi ya watu waamini kuwa hiyo ni Jay-Z na aliishi mitaa ya Harlem, miaka ya 1930s.


0 commentaires:

Maoni yako yanaweza tusaidia tunakuskia!